Thursday, June 9, 2011

Du unaona Vyeo Hivyo !!

Mie kuna mdau mmoja niliwahi kumwambia haya mambo ya vyeo shati zima alikuwa anakataa kwa sasa aangalie hii nafikiri ataacha kubisha .
Si mwingine ni bwana Jeff usiwe mbishi hii kwa ajili yako .

No comments: