Sunday, June 26, 2011

ALLY KIBA KAPATA AJALI MIKUMI MOROGORO


Habari zilizonifikia zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Ally Kiba amepata ajali maeneo ya Mikumi Morogoro akiwa anatokea MBEYA akiwa na steji show wake.
Habari zinasema Ally ameumia kidogo ila masteji show wake ndio wameumia sana, walikuwa kwenye privet car

1 comment:

Anonymous said...

ok pole zake sana nilifikiri kafa