Saturday, August 2, 2008

NMB IPO...?
------------------
Dear Forum Memmbers and fellow Tanzanians,Some of you may already know this, but most Tanzanians don't. The Government is planning to sell 21% of the 51% of the NMB shares it holds. The Initial Public Offering, IPO is expected to take off before September 2008. Currently, the shareholder profile for NMB is:

The Government of the United Republic of Tanzania 51.0%
RABO Bank 34.9%
National Investment Company Limited (NICO) 6.6%
Exim Bank Tanzania 5.8%

Tanzania Chambers of Commerce Industries and Agriculture (TCCIA) 1.7%
Only Tanzanian citizens and Tanzanian owned institutions are allowed to bid for shares during the IPO. The aim is to enable Tanzania to take ownership of private companies that were previously stated owned. Once the stock gets listed on the DSE then it is fair game for everyone.It is sad that most Tanzanians are still in the limbo in regards to the NMB shares. THe NMB IPO has been talked about for a while, but it was not common knowledge to most Tanzanians; even those working in the financial sector, while our neighbors in Kenya were already talking about obtaining these shares as early as May, 2007. Just read
Riba Capital
KA-Investor
Stocks Kenya
It is high time Tanzanians became more informed about such important things in our country's development and economy, and show we can compete in the EAC.Our Kenyan friends have even gone as far as mocking us and accuse us of xenophobia because of the restrictions imposed on the IPO. So let us make full use of this opportunity; disseminate this information widely!!
-------------------------------------
Peter S. Nalitolela,
AMINSS Graduate Program,
Trent University,
Peterborough,
Ontario,Canada K9J7B8
Office #: OCA - P4
PHONE: +1-705-748 1011
EXT 6453 CELL: +1-705-313 0014
FAX: +1-705-748 1652
Mdau Mpoki Bukuku
Anahoji..!' je hii ni Haki?
Jamani watoto hawa wanapata shida sana ya usafiri waacheni waandamane,sidhani hata kam a nauli ikiwa nzima watakuwa wanachukiwa na makonda na kuwaacha kwenye vituo vya mabasi mpaka wanavizia lifti za Malori wakati Maaskari wanapanda bure mabasi kibao yamenunuliwa kuwasafirisha.Wanafunzi wanalipa walau kidogo lakini kupanda hata daladala hawatakiwi magari ya jeshi yanapita matupu vituoni haya bebi hata mwanafunzi mmoja! Kwanini askari nao wasilipe tu? Its too much kwa watoto!!
Jua Linazama Saa Tatu Usiku!
Katika majira ya kiangazi jua huchelewa kuzama kwenye nchi za Scandinavia. Pichani ni saa tatu usiku na jua ndio linazama!
tunondozzz sunrise primary and nursery school
Mwalimu mkuu wa Sunrise Primary and Nursery School iliyoko Mikocheni, Dar, akimkaribisha mgeni rasmi pamoja na wazazi jana kwenye mahafali ya shule hiyo iliyoko karibu na barabara ya Bagamoyo rodi jirani ya hospitali ya AAR
wanafunzi wa Sunrise Primary and Nursery School ya Mikocheni katika mahafali
wahitimu wakisubiri tunondozzzz twao

wazazi, ndugu, jamaa na marafiki walikuwepo kwa wingi kwenye mahafali hayo
Deus Mallya atinga kizimbani
Deus Mallya anayetuhumiwa kuwa dereva wa gari lililopata ajali na kusababisha kifo cha wangwe
juu mwili wa marehemu chacha wangwe ukitolewa hospitali ya wilaya ya tarime baada ya kufanyiwa uchunguzi wa pili na mtaalamu aliyeletwa na familia ya marehemu, kwa mujibu wa mdau jacob mugini aliyepiga picha hizi
ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu chacha wangwe wakisubiri matokeo ya uchunguzi wa sababu ya kifo cha wangwe nje ya hospitali ya wilaya ya tarime

DEUS Mallya (27) ambaye anatuhumiwa kuwa dereva wa gari lililopata ajali na kusababisha kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tarime Marehemu Chacha Wangwe Jumatatu usiku, jana alifikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuendesha gari kizembe na kuendesha gari bila kuwa na leseni.

Alifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Dodoma, Mh. Moses Mzuma.

Mwendesha mashtaka, Mratibu Msaidizi wa polisi Polycarp Urio alidai mahakamani hapo kwamba Mallya alifanya makosa hayo Julai 28, 2008 eneo la Pandambili, kiasi cha kilomita 100 toka Dodoma, katika barabara kuu ya kuelekea Dar.

Mallya alikana mashtaka yote na amerejeshwa rumande hadi Agosti 14 kesi hiyo itaposikilizwa tena.

Utata mkubwa ulighubika ajali hiyo kutokana na madai tofauti ya nani alikuwa dereva wa gari hilo dogo. Mtuhumiwa alikana kwamba hakuendesha yeye, wakati mtoto wa marehemu Zakayo Chacha alidai ni yeye Mallya aliyekuwa dereva.

Utata huo uliepelekea kufanyika upya kwa uchunguzi wa kubaini sababu ya kifo cha Marehemu Wangwe, lakini mtaalamu aliyeletwa na familia ya marehemu alithibitisha kwamba kifo hicho hakikutokana na majeraha ya risasi kama ilivyokuwa ikidaiwa, bali kwa majeraha ya ajali hiyo.

Marehemu Chacha Wangwe hatimaye alizikwa jana huko Tarime, ikiwa ni baada ya mazishi yake kuahirishwa kwa siku moja ili kupisha uchunguzi wa kina ufanywe kwanza na mtaalamu huru aliyeletwa na familia.

Friday, August 1, 2008

Kipanya na Busara zake...

Wanafunzi Waandamana Kupinga
Nauli Mpya ya Mabasi..


Mdau Mrocky anatupasha kwamba Leo jijini Dar es Salaam kumefanyika maandamano makubwa yaliyofanywa na wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na sekondari kupinga Ongezeko jipya la nauri kutoka Tsh 50 hadi Tsh 100 amabazo zimeanza kutumika rasmi leo Agosti 1 2008.
Kapteni George Mazula Afariki
Dunia..

KAPTENI Mkuu wa Ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATC),George Mazula (59) PICHANI. amefariki dunia nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kutokana na ugonjwa wa pumu.Msemaji wa familia ya Mazula,Dk.Charles Lugora aliliambia gazeti la HabariLeo leo msibani hapo kuwa Kapteni Mazula alifariki leo saa nne asubuhi baada ya kubanwa ghafla na ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni pumu.
Kwa mujibu wa msemaji huyo utaratibu wa mazishi ya rubani huyo utafahamika Kesho baada ya kikao cha familia kilichotazamiwa kufanyika leo saa moja usiku nyumbani kwake namba SGX 4617 K.Marehemu ameacha mjane mmoja na watoto wawili walioko Marekani wanaotarajiwa kuja wakati wowote kuanzia leo ambao ni(Brian na George)Mtoto mwingine wa Mazula alifariki kwa kupigwa risasi yeye na mpenzi wake miaka miwili iliyopita nchini Marekani.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI
PEMA PEPONI AMEN
HATIMAYE CHACHA WANGWE AZIKWA

MAREHEMU CHACHA WANGWE, ALIYEKUWA MBUNGE WA TARIME AMBAYE ALIFARIKI DUNIA MAJUZI KWA AJALI YA GARI HUKO DODOMA, HATIMAYE AMEZIKWA RASMI LEO KIJIJINI KWAKE KEMAKORERE.
MAZISHI HAYO YAMEWEZA KUFANYIKA BAADA YA MTAALAMU WA UCHUNGUZI WA MAITI ALIYEITWA NA FAMILIA KUTHIBITISHA KWAMBA MAREHEMU CHACHA WANGWE HAKUUWAWA KWA RISASI BALI KWA MAJERAHA ALIYOYAPATA KUTOKANA NA AJALI HIYO.
WENYEVITI WA CUF, PROFESA IBRAHIM LIPUMBA, MH. JAMES MBATIA (NCCR-MAGEUZI), MH. AUGUSTINE LYATONGA MREMA NI BAADHI YA VIONGOZI WA SIASA WALIOHUDHURIA MAZISHI HAYO JIONI HII.

bongoland II in chicago august 15

Bongoland II is coming to Chicago next month.

TWO SHOWS ONLY.


This will be at the Gene Siskel Film Center. It is part of the Black Harvest International Film Festival.


The first show will be on Friday, August 15, 6:15 pm The second show will be on Wednesday, August 20, 6:15 pm.
Director Kibira will be present at the Friday's screening.


The address is:

Gene Siskel Film Center

164 North State Street

Chicago Il 60601

TEL 312-846-2600


SEE MORE DETAILS HERE:



SPREAD THE WORD TELL THE WORLD
We hope that you can make it...

Xoxo!!