Friday, September 18, 2009

wakuu wa polisi wilaya zote wapigwa msasa
wajumbe wa semini ya siku moja ya Elimu ya Uraia kwa Mapolisi wakuu wa wilaya zote Tanzania wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Ndugu Ezekiel Masanja [ hayupo kwenye picha hiyo ] wakati akifungua semina hiyo kwenye ukumbi wa ST. GARSPA, mjini Dodoma Jana. semina hiyo iliandaliwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. picha na mdau Jonas Marios

No comments: