Monday, September 14, 2009

BREKING NYUUUUZZZZZZ: MEDI MPAKANJIA HATUNAYE TENA
anko nanihii akiwa na medi mpakanjia (kulia)
kwenye hafla moja siku za nyuma jijini dar

HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI ZINASEMA MOHAMED MPAKANJIA, ALIYEKUWA MUME WA MAREHEMU AMINA CHIFUPA, AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA LUGALO ALIKOKUWA ANAPATIWA MATIBABU, DURU ZA KARIBU NA MAREHEMU ZIMETHIBITISHA.

No comments: