Wednesday, September 23, 2009

Happy Brithday ! Ras Makunja


Happy Brithday ! Ras Makunja,al-maarufu "Bw. Kichwa Ngumu" wa kurusha madongo kamanda wa The Ngoma Africa Band aka FFU! Jumamosi! tarehe 19 Sept 2009 ndiyo siku yako ya kuzaliwa,japokuwa wewe mwenyewe unasema kila siku uamkapo kwako ni happy brithday!? kamanda happy brithaday!
Du hii imekamzuka sana kumbe tuko pamoja maana hata mimi kadidi pia ndio tarehe hiyo na mwezi huo nilikuja Duniani.
Bomba sana.

No comments: