Wednesday, September 9, 2009

mrisho mpoto achengua uzinduzi wa tamasha la jinsia
Mgeni rasmi Pro Silvia Tamale akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maonesho ya tamasha la jinsia 2009,ambpo kwa asilimia kubwa bidhaa mbalimbali za Kitanzania ziliozokuwepo kwenye maonesho hayo zimetengenezwa kwa mikono.
Mkurugenzi wa TGNP Bi Usu Malya akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye tamasha hilo,mara baada ya kuzinduliwa rasmi na mwenyekiti wa taasisi hiyo ya TGNP,Bi Ruth Meena(haonekani pichani),tatu kulia ni mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha makerere Uganda ,Prof.Silvia Tamale

mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha makerere Uganda ,Prof.Silvia Tamale akiongea wakati wa uzinduzi wa tamasha
Mrisho Mpoto akiwachengua watu mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi wa Tamasha la jinsia lililozinduliwa katika viwanja vya TGNP Mabibo.

No comments: