Friday, September 18, 2009

kombe la dunia kufanya ziara bongo
kombe la dunia ambalo litafanya ziara ya nchini novemba 19 mwaka huu kwa hisani ya kampuni ya coca cola. litaanikwa neshno jipya wadau walione na kupiga nalo picha. ziara yake hiyo pia itatumika kunadi uwanja jipya kuvutia timu zije kula tizi hapo.

No comments: