Monday, September 14, 2009

ABRAMOVICH alivyokuwa akielekea kileleni mlima kilimanjaro
Abramovich na picha ya pamoja na wadau mbali mbali
Abramovich akiwa na watu mbalimbali wakiwa wamesimama huku wakielekezwa jambo
Abramovich akifunguliwa maji ya kunywa japo kukata kiu
Mmiliki wa CHELSEA FC ROMAN ABRAMOVICH (kulia) wakielekea kuukwea Mlima Kilimanjaro akiwa na baadhi ya wapambe,lakini kwa bahati mbaya Abramovich alishindwa kufika kileleni.

No comments: