Wednesday, February 2, 2011

Uso kwa uso !!!
Jk Na Mbowe
hii ni leo katika siku ya sherehe za sheria nchini katika viwanja vya mahakama kuu nchini. Ila hii tamu kweli maana wote hao ni wenyekiti na ndio wanaochuana kwa ukaribu sana hapa nchini.

No comments: