Monday, November 17, 2008

zorse
Salaam mkuu KADIDI
Tunakushukuru kwa kutuhabarisha yanayoendelea huko nyumbani kwetu maana watufanya tusiwe mbali na matukio muhimu ya nchini kwetu.Wanasema MZALENDO HATUPI NCHI YAKE,na kama haitupi nadhani pia na habari zake hazitupi,so tunakushukuru kwa kutupa habari ili kutusaidia kuendeleza uzalendo

Katika upekuzi upekuzi wangu,nikakutana na huyu mnyama anaitwa ZORSE.

Ni mnyama mpya huyu ameanza kutengenezwa huku kwa wenzetu.wataalamu waliamua kumpandikiza pundamilia kwa farasi ali wapate half cast-ndio wakatoka na huyu mnyama.nadhani ukiamuanglia utaweza kumuona kwa jinsi alivyo na mvuto.
Nilivutiwa sana nikona si vibaya kama utaiweka katika blog yetu ya inawezekana ili wadau huko kwetu na duniani kwa ujumla wakapata kujua yanayoendelea hata kwa wanyama.
Mdau USA

No comments: