Wazamiaji...
  -----------
 Mtazamo wangu: Tumekuwa tukiimba kuhusu kuleta maisha baora  kwa kila mwananchi. Je, ni nini nafasi ya vijana katika kuleta maendeleo?  Wanashirikishwaje? wanawezeshwa vipi? Je, tuna mikakati thabiti inayowalenga  vijana kujitengenezea maisha bora? Wenye kujua watueleze.Picha ya Mdau Bernard  Rwebangira 
 
No comments:
Post a Comment