Friday, November 14, 2008

JK KUHUTUBIA TAIFA MWISHO WA MWEZI HUU

Kicheko
Kutafakari
Kununa
Kufanyiza

Kuchinjilia mbali?
Jamani MWISHO wa mwezi Mkuu wa Kaya atahutubia nchi, na sijui atazungumzia nini lakini, lakini naamini moja ya hizi itakuwa sura yake kwa mwisho wa mwezi! Nipe jibu itakuwa ipi kati ya hizi!

No comments: