Monday, November 17, 2008

Daz baba,sasa amekuja kivingine.

Kaka Kadidi,
Nafikiri bado wapenzi wa bongo flava wanamkumbuka daz baba,sasa amekuja kivingine na kundi lake jipya la tanzaniano,akiwa na larumba na Ali mbongo,na album yao iko tayari kama unavyoiona.
Asante Mdau
Albert.

No comments: