Friday, November 14, 2008

libeneke la mkopo mlimani:hadi kieleweke...
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya mlimani wakiandamana kuishinikiza serikali kupatiwa mkopo wa asilimia 100 ya fedha za masomo na mahitaji mengine chuoni hapo

do haya vijana ndio wamefukuzwa sijui lini wanarejea ila tetesi sijapata bado lini wasomi wetu hawa watarudi skuli !!

No comments: