Hali  Halisi...
  
 jamani hii ni hali halisi livyokuwa ikionekana baada ya  kunyesha mvua jijini Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo la mto kizinga maji  yalivunja daraja na watu wa huku kusafiri kwa shida kubwa wengi walikuwa  wakibebwa na wengine kujitahidi kuogelea maji mafupi.Picha ya mdau Venance  Nestory wa Mwananchi.
   
No comments:
Post a Comment