amina mongi: muaisisi wa umodo
                                     
 nimepita hapa  face book na kukutana na sura hii ambayo imenikumbusha mbali sana, hususan kampuni yake ya faces international ambayo ilikuwa chachandu kubwa kwa fani ya umodo nchini ambapo masupa modo kibao waliibukia. Amina Mongi tunakukumbuka na ulale sehemu njema huko uliko
No comments:
Post a Comment