sherehe za 40 kwa 40 za uswazi
mfalme mswati III wa swaziland akiwasili uwanja wa simhlolo jijini mbabane kusherehekea hepi besdei yake ya kuzaliwa ya 40 na pia miaka 40 ya uhuru wa nchi yake maarufu kama 40 kwa 40
JK na mflame msati III kwenye dhifa ya 40 kwa 40 huko mbabane
Jk na mama salma na mwenyeji wao mfalme mswati III wakiwa tayari kwa lanchi ya usiku
viongozi kibao wa afrika walihudhuria sherehe za 40 kwa 40
mfalme mswati III na wageni wake wakisikiliza nyimbo za taifa
JK, M7, Mama salma na baadhi ya wake 13 wa mfalme mswati III. Mwaka huu hajaoa tena
baadhi ya wazee wakipita mbele ya mfalme kushereheke 40 kwa 40
mfalme mswati III akikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kusherehekea 40 kwa 40 huko mbabane
No comments:
Post a Comment