Rais wa Ghana atinga  Ikulu ya 
 Marekani  
 Rais wa Ghana John Kufuor wa Pili Kulia,akiwa kwenye balcony ya  Ikulu ya Marekani The White House baada ya kuwasili nchini humo kwa Mwaliko  Maalum wa Rais wa Marekani George Bush,Kushoto kabisa ni Mke wa Rais Bush Laura  Bush na wa Pili Kushoto ni Mke wa Rais wa Ghana Theresa Mensah.
 Rais wa Ghana John Kufuor(Kushoto)akigonganisha glass na Rais wa  Marekani George Bush Kwenye State dinner iliyoandaliwa na Rais Bush kwenye ikulu  ya Marekani White House Jana.
 United States Secretary of State Bi Condoleezza Rice akiwasili  kwenye State Dinner Ikulu ya Marekani iliyoandaliwa na Rais Bush Maalum kabisa  kwa Rais wa Ghana John Kufuor jana
 Rais George Bush wa Marekani akimkaribisha Rais wa Ghana John  Kufuor kwenye chakula cha jioni alichomwandalia (Rais wa ghana) kwenye Ikulu ya  Marekani The White House Jana.Hivi karibuni Mwenyekiti wa Umoja wa  Africa(AU)Rais Jakaya Kikwete alikuwepo nchini Marekani baada ya Kupata Mwaliko  Rasmi kutoka kwa Rais wa Marekani George Bush Picha na Chip Somodevilla.
No comments:
Post a Comment