Wafanyabiashara wa  Japan
Watua Nchini..


Ujumbe wa watu 37 ambao ni wafanyabiashara kutoka Japan uliwasili  nchini leo na kupokewa na kaimu katibu Mkuu wizara ya mambo ya nchi za nje na  ushirikiano wa kimataifa Balozi Charles Sanga .Pichani baadhi ya ujumbe huo  ukiondoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Picha na Assah  Mwambene wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje. 
    
 
No comments:
Post a Comment