Msanii Tina Kushuka  Bongo Hivi 
 Karibu Kuwashika.... 
  


Na abdallah Mrisho Salawi.
 Anaitwa Tina Godwin Ndonde,Msanii wa Bongo flava ambaye kwa  sasa yuko masomoni nchini Afrika Kusini na punde atarejea Bongo kuja kuwashika  akina besta na wenzake.Pichani alikuwa katika mishe zake za video  shooting...Full Kujiachia wangapi mnakipata kifaa hiki?
 
No comments:
Post a Comment