Vodacom Yatoa Msaada Kwa  Watoto 
 wa Madrasa Za  Tanga...
  
 Mwamvita Makamba akikabidhi sehemu ya zawadi kwa Meya wa Tanga,Mh.  Salim Khamis Kisauji (kushoto)
 Picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya zawadi kwa watoto wa  madrasa za Tanga: Kutoka Kulia:Yessaya Mwakifulefule -Afisa habari wa Vodacom  Foundation,Bi Mwamvita Makamba - Mkuu wa Mahusiano na Huduma kwa Jamii wa  Vodacom (T) Ltd,Mstahiki Meya wa Tanga Mh. Salim Khamis Kisauji,Mkuu wa Maawal  Sheikh Mohamed Hariri na viongozi wa Maawal na baadhi ya watoto wa madrasa  wakiwa na hijab walizopewa na Vodacom Foundation.Vodacom Foundation kama chombo  kikuu cha kutimiza majukumu ya kijamii ya kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania  inawatakia watanzania wote Kila la kheri katika mfungo huu wa Ramadhan
No comments:
Post a Comment