PPF yadhamini Mashindano  
 Ya Mchezo wa  Bao
  
 Waziri Mkuu mstaafu na mlezi wa michezo ya jadi Nchini Mzee  Rashidi Kawawa(Kulia)akipokea vikombe kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa mfuko wa  Akiba kwa Mashirika ya Umma(PPF),Sarah Kibonde katijka hafla iliyofanyika jijini  Dar es Salaam jana.Vikombe hivyo vitashindaniwa katika mchezo wa bao  utakaoshirikisha wilaya za mkoa Dar es Salaam.Picha na Mdau Yusuf Badi
No comments:
Post a Comment