Tanzania Kuadhimisha  Siku Ya 
 Michezo  Duniani..

Naibu Waziri wa Habari,Michezo na Utamaduni(Katika)Mheshimiwa Joel  Bendera akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu siku  ya maadhimisho ya michezo Dunia ambapo nchini Tanzania itafanyika kwenye  septemba 22 kwenye viwanja vya mnazi mmoja,Mheshimiwa Bendera amesema kuwa lengo  la siku ya michezo Tanzania ni kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa kutumia  michezo kama chombo cha kuleta maendeleo na amani.Pichani kulia ni Mkurugenzi wa  maendeleo ya Michezo Bi Rachel Massamu na Kushoto ni Katibu Mkuu Baraza la  Michezo Tanzania Bw Reonald Thadeous.
   
 
No comments:
Post a Comment