Azam fc yaanza kutoa dozi
                                     
 kausafiri ka azam fc kakiwa nje ya nesho kusubiri vijana wamalize kazi
 wachezaji wa azam fc wakitoka uwanjani wakati wa mechi yao dhidi ya toto africa ya mwanza neshno jana ambapo walishinda bao 2-0
 ukuta wa berlin wa azam fc hauna simile golini pake
 beki mkali wa azam fc boniface pawasa akitolewa nje baada ya kuumia
 mahabiki wa azam fc wakishangilia na kufuatilia mtanange wao na toto africa ya mwanza
No comments:
Post a Comment