Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Sunday, September 7, 2008
Ununuzi wa Hisa za NMB
Wapamba
Moto..
Wakazi wa Dar es Salaam wakijaza fomu kwa ajili ya kununua hisa za Benki ya NMB katika Tawi la Bank House leo.Ununuzi wa hisa hizo unatarajiwa kumalizika Jumatatu ijayo.Picha na Mdau Athumani Hamisi
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment