Monday, September 8, 2008

vekesheni khartoum
njia kuu ielekeayo el mourada nje ya jiji la khartoum
katikati ya jiji la khartoum
mojawapo ya alama za jiji la khartoum ni hilo jengo ambalo ni hoteli inayomilikiwa na libya
barabara zaa khartoum ni pana na safi na zina alama zote muhimu
hapa ni katika ukingo wa mto nile ambapo inakutana white nile na blue nile. angalia maji ya upande wa kuume ambayo ni mekundu (blue nile, maji yake yakitirika tokea ethiopia) na upande wa kulia ni meupe (white nile ambayo maji yake yanatiririka toka lake victoria upande wa kaskazini) katika sehemu inayoitwa al-mogran
mkuu wa wilaya ya nanihii akiwa khartoum, sudan, kwenye vekesheni ya mwezi mtukufu ila hawa watu wana vita ila miji yao iko powa sana shukrani ya picha na michuzi!!

No comments: