kweli vibaka huminya eneo hili?
Daraja la Salenda hapa leo jioni,inadaiwa kuwa eneo hili kwa sasa utulivu wake umepungua kabisa,baadhi ya watu hudiriki kupaita ukanda wa hatari,inaelezwa kuwa kuna wakati vibaka huminya maeneo hayo kwa madhumuni ya kupora/kukwapua simu wakati wa jam na kutokomea machakani.Wakati kituo cha polisi cha Salenda hakiko mbali na eneo hilo,lakini ndiyo hivyo
No comments:
Post a Comment