Sunday, September 7, 2008

Su inapovunja sheria

SU inapovunja sheria za barabarani pichani kama hivi jana jioni wakati wengine tumeminya huku nyuma tunasubiri foleni itembee,sijui wao ndio wenye haraka sana ! Wakubwa bwaana wao shot kati tu,sie wengine aaah tutajiju !

No comments: