Monday, May 26, 2008

Zombe Mahakamani Leo..


Abdallah Zombe,mshitakiwa namba moja wa kesi ya mauaji akitoka mahakama kuu na kusindikizwa kuelekea kwenye basi la magereza tayari kurudi gerezani leo.mashahidi wawili kati ya 54 wa upande wa mashitaka wameanza kutoa ushahidi wao.Kesi hiyo itaendelea tena kesho.Kwa mujibu wa duru za kimahakama,kesi hiyo itaendelea kwa muda wa siku 13 mfululizo. Picha kwa hisani ya Richard Bukos

No comments: