Wednesday, May 21, 2008

Rona Swai Miss Kigamboni 2008 ........


Miss Kigamboni 2008,Rona Swai (katikati) akiwa nawashindi wenzake Florence Josephate aliyeshika nafasi ya pili (kulia) na Joy Mashaka aliyeshika nafasi ya tatu. Shindano hilo ambalo ni la kwanza katika mashindano ya miss vitongoji, lililofanyika usiku kwenye Ukumbi wa CCM Kigamboni Dar es Salaam siku za karibuni .Athuman Hamisi/TSN

No comments: