Thursday, May 22, 2008

Ni Aibu na Hatari Kubwa...


Shimo kubwa lilijitokeza katikati ya barabara ya Morogoro na Jamhuri jijini Dar es Salaam, limeendelea kukua na tarayi limekwishasababisha ajali kadhaa.Pichani mkokoteni uliowekwa na wasamariA wema, kuzuia magari kutumbukia kwenye shimo hilo.Huku Mamlaka husika Zikiwa Kimyaa juu ya Swala hili.Picha na Athumani Hamisi

No comments: