Wednesday, May 21, 2008

Mahabusu Wapata Ahueni ya Usafiri..


Mahabusu kutoka katika magereza jijini Dar es Salaam,wakiwasili katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam juzi kwa basi jipya,ambalo limeanza rasmi kubeba washitakiwa badala ya gari la awali lilijulikanalo kama ‘Karandinga’ ambalo kwa sasa halitatumika tena kubeba washtaki baada ya jeshi la polisi Tanzania kutamka rasmi kurudisha jukumu la kutunza na kupeleka washtakiwa kuwa kazi ya Jeshi la Magereza Tanzani' na si jeshi la Polisi kama ilivyokua awali,Uamuzi huu ambao umetangazwa Rasmi na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Laurance Masha.Picha na Mroki Mroki/TSN

No comments: