Saturday, May 17, 2008

Mgambo wa jiji Mmezidi...


Mgambo wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam,wakimdhibiti msichana mwenye ulemavu wa miguu wakimpeleka kumpandisha karandinga baada ya kumkamata akiomba katika Jengo la IPS jijini Dar es Salaam jana.Wakazi kadhaa wa Jiji,walilaani kitendo cha kumkamata mlemavu huyo kutokana na hali yake tofauti na baadhi ya ombaomba ambao wamekuwa hawasumbuliwi.Picha na Victor Berege/TSN

No comments: