Wednesday, May 21, 2008

South Africa ni Balaa Tupu..





Wadau Nchini Afrika Kusini (Sauzi) kumezuka mapigano makali,wenyeji wanawauwa na kuwachomea nyumba zao 'wageni' ambao ni weusi wenzao kwa madai kuwa 'wanawamalizia' kazi. Sheshe hili, linaripotiwa kuanza Jumatatu wiki hii na walioathirika sana ni Wazimbabwe ambao wanakimbia soo lililoko kwao hivi sasa! Watu 22 wamefariki mpaka sasa na zaidi ya 200 wamejeruhiwa vibaya katika vitongoji vya Jo'Burg!

No comments: