Wednesday, May 21, 2008

Mambo Ya Maimatha wa Jesse..


Pichani ni Maimatha Jesse,Mtangazaji wa Kituo cha Television Cha Channel 5 ndiye alikuwa MC katika uzinduzi wa Akudo Impact uliyofanyika siku za karibuni katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall jijini Dar es Salaam na pia ulifana sana ila wadau wanatoa maoni yao kuwa ndio ikawa mwanzo mbaya wa akudo kutokana na kuwa na mashabiki wengi usiku huo ila cha muhimu ni wakaze buti tu !!.Picha Issa Mnally/GPL

No comments: