Wednesday, May 21, 2008

Bagamoyo siku za karibuni !!!


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa Cheti cha kufuzu mazunzo ya ‘shamba darasa’ kwa, Paulina Mshami, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya wakulima wa Kijiji cha Msoga Bagamoyo mkoani Pwani siku za karibuni.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikagua shamba la mpunga lililolimwa kwa kutumia mbinu bora na kanuni za kilimo muda mfupi kabla ya kufunga Mafunzo ya ‘shamba darasa’ kwa wakulima wa Msoga Bagamoyo mkoani Pwani.Picha na Freddy Maro

No comments: