Wednesday, May 21, 2008

CCM wakata Rufaa kuhusu ushindi wa DR. Slaa !!


CCM wakata rufaa baada ya kile walichokuwa wakikitaka kutopatikana na kurudi tena kortini kupinga upya kuhusu kuchaguliwa kwa Dr. Slaa kama Mbunge kwa kudai uchaguzi haukufuata taratibu.

No comments: