Friday, September 5, 2008

Tunavyosafiri!


Jumapili alasiri nilipanda pantoni kwenda Kigamboni. Kigamboni ni mahala pazuri na haraka unaona tofauti yake na upande wa pili wa jiji. Tatizo ni usafiri, pantoni za kwenda na kutoka Kigamboni ni chakavu sana.

No comments: