Milima Ya Ihovi

Ni kati ya Mikumi na Ruaha Mbuyuni, mpakani mwa Iringa na Morogoro. Milima hii ina mabonde na kona kali. Ni mtihani kwa madereva. Dereva lazima awe makini sana walau apunguzea hatari ya kutokea kwa ajali. Ajali hiyo pichani ni ya jana alfajiri.
No comments:
Post a Comment