Sunday, September 7, 2008

Halmashauri Kuu ya UVCCM
Yakutana Dodoma..
*Nape Nnauye Maji ya Shingo

WAZEE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),wametoa kauli ambazo zinaonyesha wazi kumshughulikia kijana machachari ndani ya chama hicho Nape Nnauye(Pichani),katika mbio zake za kuwani Uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama hicho(UV-CCM).Sambamba na hilo Baraza la Umoja wa Vijana limemfuta Nape Nnauye uanachama wa jumuia hiyo kwa kumnyang'anya kadi na kumzuia kuhudhuria vikao vyote ya UVCCM kuanzia sasa.

Wakizungumza katika mkutano wa Baraza hilo lililofanyika mjini Dodoma jana,wazee hao Katibu wa CCM,Yusufu Makamba,Kaimu Kamanda wa Vijana,Kingunge Ngombale Mwiru na Mshauri wa Vijana Mzee Rashid Kawawa waliwaonya wagombea wote na wapambe wao kuacha kukikosoa chama hicho badala yake wawe wapole.Bofya na Endelea....>>>>>>

No comments: