twanga wapepeta na staili mpya ya kung fu

masta zembwela akiongoza kikosi cha twanga katika staili yaop mpya ya kungu fu wakati wa bonanza la michezo na burudani la kila jumapili viwanja vya leaders kinondoni

pamoja na kucheza staili hiyo pia ina mambo ya kujihami kwa kutumia mikono mitupu

tizi na dansi

twanga pepeta kung fu flex

huu haaaa! anarusha vitu aisha madinda
No comments:
Post a Comment