Safari hii Tunaumaliza Kabisa
Upinzani-Kingunge..

Kingunge alisema nguvu ya chama kwa sasa inaelekezwa kwa wapinzani lengo kuu likiwa ni kuwamaliza licha ya kuwa tayari chama chake kimeshafanikiwa.“Sasa hivi hakuna kitu na tumefanikiwa kwa sababu ya kuwaunganisha wanachama wetu na kuwa kitu kimoja na haki ndiyo inayowaunganisha na ndio maana tumefanikiwa,”alisema mkongwe huyo.
Alisema iwapo kiongozi wa CCM atashindwa kupambana na upinzani,ni lazima uongozi wake utakuwa na dosari na hivyo atanyang’anywa madaraka.Bofya na Endelea.....>>>>>>
No comments:
Post a Comment