Mnamkumbuka Mama Huyu,Bado
Anasota Mjini...

Mkazi wa Kijiji cha Mbawala Mtwara vijijini,Sophia Lipelete,akiwa na watoto wake kutoka kushoto ni,Moshi Mfaume,Hausi na Hidaya,wakiwa katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam kuomba msaada kwa ajili ya kusomesha watoto na makazi.Kwa mujibu wa Mama huyo,nyumba waliyoijenga kijijini kwao,iliungua moto na kutekezeza mali kadhaa walizoachiwa na marehemu mumewe.Picha na Mdau Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment