Hii ndio Bongo Dar es Salaam.

Kijana ambaye jina halikuweza kufahamika mara moja alikutwa akizibua choo bila ya kuwa na vifaa maalumu vya kujikinga na magonjwa ya milipuko hivi karibuni katika eneo la Manzese jijini Dar es Salaam.Picha na Mdau Venance Nestory.
No comments:
Post a Comment