Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Saturday, March 8, 2008
Kweli Treni ni kiboko !!!!
Hapa mnyama kapingwa na kitu treni baba huyo ni twiga na alikufa hapo hapo na kibya zaidi ilibidi gari moshi lishike breki za ghafla na hapo kila mtu alipatwa na wasiwasi ni noma jamani !
Hapa ndio twashuhudia yaliyo jiri kwa mnyama Twiga !
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment