
Jamani mnamjua huyu hivi yuko wapi siku hizi maana yuko kimya sana sijui anatuandalia nini maana huu ukimya ni soo kwa wale msio mjua huyu ni mzee wa east coast team anaitwa Oten aliwezaga wakati fulani kuja na song linaloitwa mimi likatubamba sana natumai mnalijua hilo song!!!
No comments:
Post a Comment