Inawezekana !!!!!
Jiamini unaweza na ufanye unachoamini!!
Wednesday, March 12, 2008
Haya jamani mwana mtandao mwenzetu !!!!!
Jamani kuna mdau kutoka maeneo ya hapa jijini maeneo ya meeda cafe bwana Bonny Kiemba anawapa hii sana washikaji zake wote mnaomfahamu anasema tukumbukane kwa hii site maana iko bomba na pia hutokosa kutoka na kitu kutoka katika hii site.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment