Thursday, March 13, 2008

GK MBONA EAST COAST KIMYA ??


Hapo anaonekana jay Dee na Kamanda Gk katika nguo za kijeshi kwa chini ndio Snare !

Ila jamani mnakumbuka wakati huo jamaa Gk alipata sana kashikashi na hayo mavaziya kijeshi katika ile shouting yao ambayo kidogo ilileta tofauti sana katika hili game la bongo flaver ila sijui ishu yake iliishia wapi sio mbaya kwa kushare na pia anafanya nini mbona hasikiki tena au ndio vijana wamemkamata na kumweka chini ila mkuu Gk komaa nao maana tuna miss vitu vyako kama Komaa,sauti ya Manka nk

No comments: