
Mdau bonny kwa wanaomjua kanitumia salamu nyingi kwa wale mnaomfahamu anawapa hii sana na pia anawauliza maandalizi ya pasaka wapi jamani maana anasema yuko Tee sana maana sikukuu yenyewe inapoangukia ni katikati ya mwezi kama ingekuwa mwisho wa mwezi Safari beerzingemkomaa ila inamtia shaka kama ata eenjoy ila msisite kumkaribisha na pia muwe makini katika hiyo sikukuu. Anasema msiache kutumia blog hii kwa kuwasiliana !
No comments:
Post a Comment